BAWACHA mkoa wa Dodoma yampoteza mpiganaji mahiri.............



 
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Chilonwa mkoani Dodoma aliyeenguliwa kwenye kura za maoni ambaye pia ni mwenyekiti wa BAWACHA mkoa atimkia ACT.Chanzo hicho cha kuaminika kimesema kuwa mwenyekiti huyo amefikia maamuzi ya kujitoa kwenye chama cha CHADEMA na kujiunga na ACT Wazalendo baada ya kutoridhika na mchakato mzima wa kumpata mgombea kupitia kura za maoni ndani ya chama hicho.

Mwanasiasa huyo ambaye ni machachali sana kwenye anga za siasa mkoani dodoma amefikia uamuzi huo na hivyo amesema atagombea ubunge wa jimbo la chilonwa kupitia ACT Wazalendo.

kwa habar zaidi fatilia blog hiii

Post a Comment

 
Top