Mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo Bi Anna Mghirwa(56) amabaye anaendelea kunadi sera za chama chake nchi nzima amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais na wananchi basi atamteua Zitto kabwe kuwa waziri wake mkuu.

Post a Comment

 
Top