UTANGULIZI Sheria hii ya mwaka 2015 ilipitishwa na bunge na kisha kusainiwa na Rais itaanza kufanya kazi rasmi tarehe 1 Septemba 2015 na yoyote atakayeikiuka atakabiliwa na kifungo au faini au vyote kisichopungua miaka mitatu na faini isiyozi milioni kumi, HAYA HAPA NI MAMBO MUHIMU YA KUEPUKA; 1;Epuka kusambaza PICHA au HABARI ambazo huna uhakika na ukweli wake na chanzo chake. 2;Habari za UCHOCHEZI na UDHALILISHAJI watu nazo ni za kuziepuka. 3;UONYESHAJI NA USAMBAZAJI WA PICHA ZA UTUPU nalo ni kosa ambalo linaweza kukupeleka jela. 4;UHAMISHAJI WA PESA AU UPATAJI WA PESA KWA NJIA YA UDANGANYIFU nao unaweza kujikuta uko lupango

31 Aug 2015

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top