Sanaa ya uongozi au sifa ya uongozi mzurini uwezo wa kusema hapana na si ndiyo. Ni rahisi kusema ndiyo kuliko kusema hapana. Wakati mwingine ni vems kukubali kushindwa ukawa umetenda sahihi kuliko kukazania kushinda ukawa umetenda hovyo. Maneno hayo yalitamkwa na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza.

Post a Comment

 
Top