1;USALITI. Mtu mwenye wapenzi wengi kamwe hawezi kudumu kwenye penzi. Kwani sote tunaamini kuwa moyo hauwezi kugawanywa kwa watu tofauti zaidi ya mmoja. 2;UONGO. Hili pia huchangia kwa kiasi kikubwa katika kuvunja mapenzi. Je katika hali ya kawaida huwa unajisikia vipi pale unapogundua unadanganywa? Unapoamuamini mtu na kumpa moyo wako pale anapokuaminisha wewe ndo wa maisha yake na baadae kugundua ni mume au mke wa mtu mwenye watoto kadhaa. Hali huwa vipi? 3;UCHUMI,TAMAA,PESA., Hapa tutaliangalia hasa kwa akina dada ambao hutanguliza maslahi mbele zaidi kushinda penzi. Kipato chako na mwenza kinaruhusu kula wali maharage lakini mwenza anataka pilau kuku na wigi la laki mbili Hapo lazima usaliti utokee. 4; KUTOTOSHELEZWA KIMAPENZI. 5;DHARAU. 6;LUGHA MBAYA. 7;ULEVI ULIOPITILIZA

Post a Comment

 
Top