Kwa mara nyingine kanisa katoliki duniani ambalo linadhaniwa kuwa dhehebu lenye waumini wengizaidi duniani limepatwa na msukosuko mwingine wa kiimani kuhusu ndoa na kutengana kwa wanandoa. Ikumbukwe pia kipindi cha nyuma mambo kama haya yalishatokea kama vile MAPADRE KUOA,MASISTA KUOLEWA na hata KASHFA YA MAPADRE KULAWITI WATOTO WADOGO. Gumzo kwa sasa ni je hakuna haja ya kanisa kuangalia sheria zake za ndoa na hasa uwezekano wa kuachana kwa wanandoa. SABABU ZINAZOTOLEWA. 1.Kupoteza nguvu za kiume 2.Usaliti ndani ya ndoa 3.Udanganyifu nk Naamini Pope Francis na viongozi wa kanisa wataliangalia hili katika jicho la kiimani.

Post a Comment

 
Top