Tanzania imepata mshtuko mwingine baada ya aliyekua Waziri wa viwanda na biashara kufariki dunia katika hospitali ya Apolo huko India, taratibu za mazishi na utaratibu wa mwili kurejea unaandaliwa …
TAIFA STARS V/S MALAWI
Kesho kwa mara ningine Taifa Stars itajitupa uwanja wa Taifa kumenyana na timu ya taifa ya Malawi katika michuano ya kusaka tiketi ya kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia 2018. Liingilio ni sh…
TANESCO; MGAO WA UMEME HAUZUILIKI KWA SASA
Shirika la umeme Tanzania, limesema mgao wa umeme kwa sasa hauzuiliki kutokana na mabwawa yanayotumika kuzalisha umeme kukumbwa na ukame. Mkurugenzi mkuu wa shirka hilo Mhandisi Felchesmi Mramba …
MTIKILA KUAGWA KESHO KARIMJEE
Aliyekua Mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila, anatarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Karimjee na kisha kusafirishwa kwa ajili ya mazishi nyumbani kwao Ludewa. Mchungaji M…
HASHIMU RUNGWE KUTEMBELEA BAJAJ
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia CHAUMA ameendelea kunadi sera zake na za chama chake mjini Dodoma pale aliposema kuwa iwapo atapata ridhaa ya wananchi, pindi akichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri y…
FANYA MAAMUZI SAHIHI
19 Sep 2015KANUNI ZA TOZO LA HAPO KWA HAPO KWA NJIA YA KIELETRONIKI NA KANUNI YA KUWEKA NUKTA KWENYE LESENI YA UDEREVA
KANUNI YA TOZO LA PAPO KWA HAPO Kanuni hii ni ya sheria ya usalama barabarani sura ya 168 kama ilivyorejewa mwaka 2002, kifungu cha 95iliyotiwa sahihi na Waziri wa Mambo ya Ndani na kupewa n…