Mgombea wa nafasi ya urais kupitia CHAUMA ameendelea kunadi sera zake na za chama chake mjini Dodoma pale aliposema kuwa iwapo atapata ridhaa ya wananchi, pindi akichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania basi atakua akitumia usafiri wa bajaj kurahisisha shughuli zake na pia kupunguza gharama amabazo ni kodi za wananchi.Mgombea huyo aliyasema hayo katika viwanja vya majani ya chai na pia viwanja vya mashujaa na kuwaeleza wanachi waliokua wakimsikiliza kuwa anatumia staili ya kuwafuata walipo ili wasipoteze muda wao ambao ni mali.

Post a Comment

 
Top